Jinsi ya Kutumia Mtandao wa Facebook na Instagram Kunasa Wateja

Je wewe ni mfanyabiashara mwenye kuhangaika kupata wateja kupitia mtandao wa Facebook na Instagram?

Kama jibu lako ndio basi usihofu kwani nina habari nzuri sana.

Tumekuandalia video BURE yenye kukuonyesha "Jinsi ya Kutumia Mtandao wa Facebook na Instagram Kunasa Wateja."

Kuona hiyo video nenda hapa >> https://goo.gl/MSA1Fj

Baada ya kutangaza zaidi ya miaka 7 katika mtandao wa Facebook na miaka 2 Instagram na kuwasaidia mamia ya wajasiriamali, tumegundua kuwa kuna jambo moja la msingi ukilifahamu utaweza kunasa wateja kwa wingi kupitia mtandao wa Facebook na Instagram kuliko jambo jengine lolote.

Kufahamu jambo hilo angalia video yetu kwa kubofya hapa >> (https://goo.gl/MSA1Fj)

Wako,

~ Dr. Said Said
Mkurugenzi - Online Profits


Hits (643)

copyrights © 2024 123Tanzania.com   All rights reserved. Designed & Maintained by Powerweb