KIKAPU SILO

KIKAPU SILO

Mon Jun 04, 2018

Selling

KIKAPU(GHALA LA KUHIFADHI NAFAKA)KIKAPU hiki ni kwaajili ya kuhifadhi nafaka aina zote kwa wakulima wote.

-Kimetengenezwa na matierial ya GALVANIZE SHEET, kutoka kampuni ya keplerweber nchini BRAZIL.

FAIDA ZA KUTUMIA KIKAPU

*Inatumia sola kwaajili ya kuendesha feni ambayo inafanya kazi ya kupunguza unyevu unyevu kwenye nafaka nakuacha nafaka zako katika hali ya ubora.

*uwezo mkubwa wa kuhifadhi nafaka katika eneo dogo sana.

*Kikapu itaweka nafaka salama kwa muda mrefu na kutoa hali bora ya kuhifadhi nafaka.

*Kikapu ni rahisi kupakia na kupakua.

*kikapu husaidia kuepuka matatizo ya unyevu nyevu katika kipindi cha mvua.

*Faida nyingine ni katika njia rahisi ya kuweka mazingira bora ya kuhifadhi nafaka, kwa kudhibiti joto, wadudu, mold, ndege, ambayo katika vituo vya kuhifadhi muda mrefu inaweza kusababisha hasara muhimu ya kiuchumi.

*Ina uwezo wa kuhifadhi nafaka zaidi ya miongo mitatu bila kuharibika.

UWEZO(CAPACITY)

-Inauwezo wa kuhifadhi tani sita(6) za nafaka, Sawa na magunia sitini(60) ya kilo mia moja.

Kwa mawasiliano zaidi 0754446989,0655446989

TSHS 4,900,000

Write Your Comments

Reviews

copyrights © 2018 123Tanzania.com   All rights reserved. Designed & Maintained by Powerweb