Production Officers

Advertisement      

Production Officers

Mon Oct 16, 2017

Location Ilala, Chanika Dar Es Salaam Description Blue Belt Business Associate ni Kampuni binafsi iliyoanzishwa na inayikuwa. Ni Kampuni inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za aina mbalimbali. Ofisi zetu ziko Dar es salaam, lakini kwasasa Tunafanya kazi katika mikoa mitatu ambayo ni Dar es salaam, Pwani na morogoro. Apply for this job Nafasi za Kazi Production Officers (3) Wanahitajika vijana wavulana au wasichana waliopata mafunzo ya usindikaji wa vyakula kutoka VETA, SIDO au taasisi yeyote inayotambuliwa na serikali Kituo cha kazi: Dar es salaam Jinsi ya kutuma maombi: andika barua ikiambatanishwa NA nakala za vyeti vya shule na taaluna Tuma maombi yako kwa: Managing Director Blue Belt Business Associate P. O. BOX 6508 Dar es Salaam, Tanzania Unaweza pia kutuma kwa email: hamzamtunu@gmail.com Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 30 October 2017 Wale watakaonesha kukidhi viwango ndio watakao itwa kwenye usaili

Write Your Comments

Reviews

copyrights © 2024 123Tanzania.com   All rights reserved. Designed & Maintained by Powerweb