.................................................................................................................................
Mahali: Sunni Muslim Hall, Mkabala na Hospital ya Apolo Karibu na Tawi la Benki ya NMB Morogoro Road karibu na stendi ya Kisutu zamani
Muda: Kuanzia saa 4:30 Asubuhi
Mada: NJIA MBALI MBALI ZA KUSOMA BAADA YA KUMALIZA FORM FOUR
Mtoa Mada: Ms Amina Ramadhani
• MSc Project Planning and Management kutoka Chuo Kikuu cha Bradford Uingereza na B.A Chuo Kikuu cha Dar es salaam
• Mlezi na mshauri wa vijana kwa Zaidi ya miaka kumi sasa
• Mtunzi wa vitabu na majarida mbali mbali
Wahi kujiandikisha kwani nafasi ni chache.Watakaoshiriki ni wale tu watakaothibitisha ushiriki wao.
.................................................................................................................................
Mawasiliano Zaidi:
India Street, Sabodo Parking Building - 10th Floor
+255 718 385 424, +255 715 022 125
courses@pctl.co.tz
www.pctl.co.tz

copyrights © 2026 123Tanzania.com All rights reserved. Designed & Maintained by Powerweb