Mashine za EFD (TRA)

 

Mashine za EFD (TRA)

  • TRA wametoa tarehe ya mwisho ya kununua mashine za EFD
  • Kila mfanyabiashara mwenye mauzo kuanzia shilingi milioni 14 na kuendelea kisheria anatakiwa kuwa na mashine. TRA imetambulisha matumizi ya mashine za EFD kutolea risiti na Ankara kwa kila mauzo yatakayofanyika.
  • PowerComputers ni wasambazaji rasmi wa mashine za TRA, pia tunasambaza kwa wateja waliosajiliwa kwa VAT inayohusisha printa za risiti na mashine za ETR.
  • PowerComputers ina miaka 13 ya ujuzi mkubwa kwenye kusaidia na kuhudumia. Tuna ofisi Tanzania nzima kusaidia na kurahisisha huduma.

 

Mobile: +255 656 760 050, 686 677 755, 767 084 602


Hits (720)

copyrights © 2026 123Tanzania.com   All rights reserved. Designed & Maintained by Powerweb