Sales Freelancers

Advertisement      

Sales Freelancers

Tue Nov 03, 2015

Tunatafuta wafanyakazi wa kitengo cha mauzo (sales - freelancers) ambao watakuwa wanauza na kusambaza bidhaa mbalimbali za kampuni na makampuni washirika, pia wanahitajika watu wa mauzo ambao watauza na kusajili laini za kampuni mpya ya simu (HALOTEL) Location: Dar es salaam, Tabata Muombaji awe na elimu ya kidato cha nne (form IV) na kuendelea, APPLICATION INSTRUCTIONS: Muombaji awasiliane kupitia namba hii, 0719324982

Write Your Comments

Reviews

copyrights © 2026 123Tanzania.com   All rights reserved. Designed & Maintained by Powerweb