Mashine za sabuni, kusaga, juice

Mashine za sabuni, kusaga, juice

Sun May 21, 2017

Selling

MIKOPO YA MASHINE NA ZANA ZA KILIMO BILA DHAMANA



Asasi ya Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR) Iliyopo Njombe, inaunda mashine mbali mbali zenye bei tofauti na kuziuza kwa Fedha Tasilimu (cash) au kwa mkopo kwa kulipa asilimia kati ya 50 hadi 80 na kiasi kilicho baki kukilipa ndani ya miezi 4 hadi 6, Muda wa uundaji wa mashine ni kati ya siku 3 hadi wiki 2 kutegemeana na aina ya mashine, Mashine ndio zitatumika kama dhamana na pia mkopaji atatakiwa kuwa na wadhamini wawili ambao watawajibika kulipa ambapo mkopaji anaposhindwa kulipa, Tunashauri Mteja afike offisini kwetu kwa mazungumzo zaidi au kwa mawakala ambao watakuwa wakitambulika na offisi. Mikopo inahusiha Mashine zenye thamani kuanzia Milioni 1 na kuendelea, Kwa maelekezo zaidi piga simu Simu 0754397178 au 0652556833 au tembelea www.envaya.org/pdpr Na zifuatazo ni bei elekezi za mashine na aina zake.



1) Mashine za kusaga na kukoboa nafaka mbali mbali. (Milioni 2.3, 2.7, 3.1M)



2) Kubangua mise, (Milioni 1.4 hadi 2.5)



3) Kukoboa kahawa na kusaga ya umeme au mafuta ,(Laki 4.5 manual, 1.8M)



4) Kutotoa vifaranga vya kuku automatic na semi automatic kuanzia mayai 60 hadi 6000



5) Kuchanganya chakula cha kuku cha mash na pellet (tambi), (Milioni 2.5, 3.8 hadi 8m)



6) Kukamua na kusafisha mafuta ya nafaka kama alizeti, karanga nk, (Milioni 4, 7, 9 hadi 20)



7) Mashine ya kupukuchua mahindi (Laki 9 hadi Milioni 3)



8) Mashine ya kutengeneza sabuni za miche, maji na unga,( Milioni 1.5, 2.5M,4m,6M hadi 15)



9) Mashine za kukaushia mboga na matunda mbali mbali (drier) (Laki 6 hadi milioni 7)



10) Mashine ya mkaa wa taka taka ngumu za umeme na mafuta ya taa (Mkaa wa kisasa) (Laki 5, 2m, 3.5m hadi Milioni 6)



11) Mashine za tofari za cement, hydro form, (Laki 3.5 hadi milioni 4),



12) Mashine ya kukamulia juice za matunda mbali mbali, (Milioni 1.4 hadi 3)



13) Mizinga ya nyuki ya ubao wa juu na commercial, (Elfu 45,000 na 110,000)



14) Mashine ya kupasua mbao, (Milioni 2.5 hadi 4m )



15) Mashine ya kuranda mbao za size tofauti ( Milioni 1.7 hadi 3.5m)



16) Mashine ya kusaga karanga (penut butter) (Laki 8 hadi 2.7m)



17) Mashine ya kuchomelea vyuma, (Laki 3 hadi laki 6)



18) Mashine ya kucharge betri za gari, (Laki 3.7 hadi laki 5)



19) Ujenzi wa green house ( kwa kila mita ya mraba 23000 ikiwa imekamilika kila kitu.)



20) Ujenzi wa mabwawa ya samaki ya pond line yanayo hamishika ( kuanzia laki 2.5),



21) Mashine za kuoaka mikate (Mixer na oven), (Laki 9 hadi milioni 8),



22) Mashine ya kukoboa mpunga (Milioni 1.6 hadi milioni 4)



23) Mashine ya juice ya miwa (Mnual laki 3, umeme 1.2m),



24) Mashine ya kusaga na kukausha mihogo (1.9M hadi 10m),



25) Mashine ya chaki (Laki 4.5 hadi 6 Milioni pamoja na drier),



27) Kukatia nyasi za Ng'ombe (Chaff cutter) laki 9 hadi 3m),



28) Mishumaa (Milioni 1.5 hadi 2.3m),



29) Kupukuchua mahindi (1.2m hadi 3m),







Pia tunachimba visima vya maji eneo lolote kwa kila mita 35000, na pia tunauza miti ya mbao na mashamba ya kupanda.

TSHS 100,000

Write Your Comments

Reviews

copyrights © 2024 123Tanzania.com   All rights reserved. Designed & Maintained by Powerweb